Mkude atambulishwa yanga
Habari za michezo

MKUDE HUYOOO TAIFA STARS

Staff Desk August 30, 2023 7:53 pm

Kiungo wa Yanga SC, Jonas Mkude ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa Tanzania (Taifa Stars) kwa ajili ya mchezo wa kutafuta nafasi ya kufuzu AFCON dhidi ya Algeria.

Mkude aliyejiunga na Yanga SC hivi karibuni katika dirisha hili akitokea Simba SC atakuwa sehemu ya kikosi cha Stars kitakachokwenda kupambana na Algeria ugenini, Septemba 7.

Stars inahitaji alama moja katika mchezo huo ili iweze kufuzu fainali hizo ambazo mara ya mwisho ilifuzu mwaka 2019 nchini Misri.

SIO TSHABALALA, WALA KAPOMBE NJE TAIFA STARS KOCHA AFANYA MAAMUZI MAGUMU UNAWAJUA WACHEZAJI WALIOANZA MSIMU VIBAYA, MAJANGA HAYA HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply