Habari za michezo
THE CRANE YA UGANDA YAKANUSHA TAARIFA YA YANGA KUHUSU BEKI WAO HUYU
Staff Desk
September 4, 2023
2:28 pm
Msemaji wa Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) Joel Moses amekanusha taarifa iliyotolewa na klabu ya Yanga kuwa beki Giggy Gift Fred ameitwa timu ya taifa.
Moses amesema jina la beki huyo halipo katika Kikosi cha Uganda Cranes kilichoitwa na Kocha Milutin Seredojovic Micho.
Je, ina maana Yanga wameliongopea Taifa kwa Taarifa yao waliyotoa? Tupe maoni yako
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.