azam vs yanga
Habari za michezo

MCHAMBUZI:- KWA YANGA HII…KUNA TIMU ITAPIGWA GOLI 4 KWENYE DABI….

admin September 19, 2023 4:34 pm

Wikiendi iliyopitwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Simba na Yanga walikuwa ugenini wakisaka nafasi ya kucheza hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa.

Yanga walikuwa nchini Rwanda katika Dimba la Kigali Pele wakiwakabili Al Merrikh ya Sudan na kufanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 2-0.

Simba walikuwa Zambia wakikipiga na wenyeji Power Dynamos katika Dimba la Levy Mwanawasa na kulazimishwa sare ya mabao 2-2.

Baada ya mchezo huo wadau wengi wa masuala ya kandanda walionekana kuwa na wasiwasi na kiwango kilichooneshwa na Simba SC katika mchezo huo.

Miongoni mwao ni mchambuzi wa Soka toka Clouds Media Edgar Kibwana ambae anasema kuwa;

“Kuna timu kila nikiiangalia naona kabisa dabi ya Novemba watapigwa goli nne, huu mwenendo wao wasipobadilika nina uhakika watapigwa tu”.

KISA KUIFUNGA AL MERRIKH ‘KIDOGO TU’ …..YANGA WAANZA KUVIMBA…TAMBO ZA HERSI SIO POA.. BOSI SIMBA AFUNGUKA MBRAZILI KUPIGWA CHINI….”TIMU TUNAYOITAKA BADO SANA”…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply