Habari za michezo
HIZI SALAMU ZA SIMBA KWA WAZIMBIA SASA NI KUTISHANA HUKU
Staff Desk
September 26, 2023
2:06 pm
Leo Septemba 26 Timu ya Simba imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Pan African na kuibuka na ushindi wa magoli 4-0.
Simba wako katika maandalizi ya mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Power Dynamos ya Zambia kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabinwa Afrika utakaopigwa Oktoba 1.
Mabao ya Simba katika mchezo huo yamefungwa na Saido, Phiri, Kibu na Onana.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.