Habari za michezo

KIKOSI CHA POWER DYNAMO KIMEWASILI NCHINI KWAAJILI YA SIMBA

Staff Desk September 29, 2023 10:23 am

Kikosi cha Timu ya Power Dynamos tayari wamekwisha wasili nchini kutokea Zambia kwaajili ya mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba Sc.

Mchezo huo ambao utapigwa Jumapili, Septemba 1, 2023 kuwania hatua ya makundi ya michuano hiyo baada ya mchezo wa kwanza kumalizika kwa sare ya bao 2-2 nchini Zambia

GAMONDI ASHTUKA, AWATAJA WAKONGO KAMBI YANOGA DAR MASTAA HAWA WA YANGA WANAFAA PALE SIMBA KABISA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply