Simba SC
Habari za michezo

KIEMBA:- KWA SIMBA HII….HAKUNA TIMU PALE….YANGA WANAWAZIDI MBALI..

admin October 2, 2023 7:21 pm

Wakati Simba ikifanikiwa kupenya kwa mbinde hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kulazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Power Dynamos.

Wengi wameonekana kulalamika na kutilia shaka kiwango cha Timu hiyo hasa katika hatua za mbele za michuano hiyo mikubwa ya ngazi ya Vialabu Afrika.

Mchambuzi kutoka Clouds FM Amri Kiemba anasema kuwa Simba wana wachezaji lakini hawana timu, katika uchambuzi wake Kiemba anasema;

“Simba inashindwa kucheza ndani ya kiwanja kwa namna ambavyo ilikuwa imezoeleka kama utamaduni na inashindwa kwa sababu sasa hivi haina ID ya uchezaji (utambulisho/style of play).”

“Simba ina wachezaji ndani ya kiwanja lakini timu kama timu hakuna, ndicho ambacho kinaleta utofauti wa Yanga na Simba kwa sasa hivi, kuhusu mpinzani Simba imecheza mechi ngumu zaidi ya hii (Power Dynamos).”

SHINDA MPAKA PIKIPIKI KWA KILA MKEKA UNAOWEKA NA MERIDIANBET KUPITIA HALOTEL…. GAMONDI : NASHUSHA CHUMA KIPYA, MZIZE ATOA SIRI YA MSENEGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply