Habari za Michezo
Habari za michezo

SINGIDA YA KIMATAIFA NJE YA DIMBA

Staff Desk October 2, 2023 10:11 am

Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Jumapili jioni Uwanja wa WE Al-Ahly mjini Cairo nchini Misri.

Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Jumapili jioni Uwanja wa WE Al-Ahly mjini Cairo nchini Misri. Singida Big Stars inatolewa kwa kichapo cha jumla cha mabao 4-2 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki mbili zilizopita Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

SIMBA IMESHAKUWA JANGA MO DEWJI AOGOPA KUFA KWA PRESHA LICHA YA SIMBA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI ROBERTINHO AWAJIA JUU WACHEZAJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply