BANDA SASA ANATAKIWA KUONGEA LUGHA MOJA NA MBRAZIL
Singida Fountain Gate, iko mbioni kukamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Simba, Peter Banda, huku kocha mkuu wa kikosi hicho Mbrazili Ricardo Ferreira akiachiwa maamuzi…
Singida Fountain Gate, iko mbioni kukamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Simba, Peter Banda, huku kocha mkuu wa kikosi hicho Mbrazili Ricardo Ferreira akiachiwa maamuzi…
Baada ya kimya cha muda mrefu bila kuonekana uwanjani akiwa na kikosi cha Singida Fountain Gate, beki Joash Onyango ameweka wazi kilichofanya asionekane ni majeraha…
Mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Thomas Ulimwengu, kupitia kwenye interview na television ya Mtandaoni ya Singida Fountain Gate, amewefunguka kuhusu sababu ya kujiunga na timu…
Kocha Msaidizi wa Singida Fountain Gate, Thabo Senong amesemna Ligi Kuu Tanzania Bara bado ni ngumu na haitabiriki kwa sababu kila timu inakuja tofauti katika…
Nyota wa Singida Big Stars, Duke Abuya amesema ni muda kwao wa kuonyesha ubora wao mbele ya Yanga kesho kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. “Kila…
Kocha Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi amezungumzia mipango yake kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate. Mchezo…
Kocha Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi, amezungumzia mipango yake kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate. Mchezo…
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe, amesema mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate utakaochezwa Uwanja wa…
Kiungo mkabaji wa Singida Big Star, Morice Chukwu amekiri mechi itakayopigwa kesho wakiwa nyumbani dhidi ya Simba ni ngumu, lakini ametamba inafungika ikizingatiwa mchezo wenyewe…
Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika mchezo…