Habari za michezo
KUMBE ULIMWENGU ALIZICHOMOLEA SIMBA, YANGA ISHU IKO HIVI
Staff Desk
November 14, 2023
11:14 am
Mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Thomas Ulimwengu, kupitia kwenye interview na television ya Mtandaoni ya Singida Fountain Gate, amewefunguka kuhusu sababu ya kujiunga na timu hiyo badala ya kwenda timu kubwa hapa nchini.
Ulimwengu (30) amejiunga na Singida FG mwanzo mwa mzimu huu akitokea TP Mazembe ya Congo DR ambayo ameitumikia kwa mafanikio makubwa.
“Nilizikataa ili nijiunge na Singida FG kwa sababu nilipokuwa nje nilikuwa naifuatilia na kuiona timu inayokua na kusogea juu na ndoto yangu ilikuwa kucheza klabu hiyo, ndiyo mana leo nimekuwa hapa,” amesema Ulimwengu.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.