Habari za Michezo
Habari za michezo

MAYELE AWACHANA SIMBA, AWATAMANI SIO YANGA

Staff Desk October 3, 2023 2:43 pm

Straika wa zamani wa Yanga Fiston Mayele akizunguzia ubora wa timu yake ya zamani Yanga kuwa inazidi kupanda kila siku, mwaka jana walicheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini sasa hivi wameingia Makundi baada ya miaka 25 kwa hiyo ni hatua kubwa.

Lakini wakati akiwa anazungumzia ubora wa chama lake la zamani ametupa kijembe kwa wapinzani wake Simba kwamba wamebebwa na kanuni timu inaingia Makundi na haijamfunga mwenziye, wamefuzu kwa kanuni.

“Yanga inakua Kila Siku wanacheza na wanakupa burudani, Simba kwanza wameingia hatua ya makundi kwa goli la ugenini we uliona wapi hiyo?,” amesema Fiston Mayele mshambuliaji wa zamani wa Yanga.

SOKA LA ROBERTINHO SIO POA MCHAMBUZI AFUNGUKA HAYA MASHINE YA POWER DYNAMO ILIYOWATESA SIMBA AFUNGUKA DILI LAKE NA YANGA SC…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply