Home Habari za michezo A-Z JINSI IHEFU WALIVYOILIZA YANGA LEO KILAINII KABISA….YA NABI YAMKUTA GAMONDI….
Bao la Pacome Zouzuoa linakuwa la pili kwake kwenye Ligi Kuu tangu ajiunge na miamba hiyo ya jijini Dar es Salaam mampema msimu huu.