Habari za michezo
SIMBA WAONA ISIWE TABU YAWARUHUSU MASTAA WAKE KUTUA HUKU
Staff Desk
October 12, 2023
10:54 am
Wachezaji wa Simba Kibu Denis na Mzamiru Yassin wameonakena kwenye mazoezi ya kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachojiandaa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Sudan.
Mechi hiyo itapigwa nchini Saudi Arabia na mastaa tayari washaingia kambini kujiandaa na mechi hiyo.
Wakati mechi hiyo ikipigwa nchini humo Simba SC imebakiza siku saba kutoka leo kucheza mechi ya ufunguzi ya African Football League dhidi ya Al Ahly katika uwanja wa Mkapa jijini Dar (Oktoba 20) huku wapinzani wao Al Ahly tayari washatoa taarifa ya kuwazuia mastaa wake wakiwemo Percy Tau kujiunga kikosini Afrika Kusini na Aliou Dieng kwenda Mali.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.