Habari za Simba leo
Habari za michezo

ONANA ATOA YA MOYONI MARUDIANO DHIDI YA AL AHLY

Staff Desk October 23, 2023 3:47 pm

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Willy Onana, ametoa kauli ya kishujaa kueleka mchezo wao marudiano dhidi ya Al Ahly hapo kesho Oktoba 24, 2023.

Onana ametoa kauli hiyo ameitoa leo akiwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari kuelekea kwenye mechi hiyo ya African Football League utakaopigwa nchini Misri.

“Mpira ni mchezo wa wazi na wala si rekodi za nyuma. Kwetu tumefanya maandalizi ya kutosha kulingana na mahitaji ya mchezo wa kesho yalivyo na lengo letu kubwa ni kuhakikisha tunapata matokeo mazuri. Hali na morali ya wachezaji wenzangu zilivyo juu hili linawezekana kulitimiza,”

ROBERTINHO AKIFUMUA KIKOSI CHA SIMBA MAPEMA ULE MPANGO WA MERIDIANBET KUKUPA UTAJIRI..SAFARI HII UMEKUJA NA SLOT HII YA KIJANJA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply