Habari za Simba
Habari za michezo

FT: AL AHLY 1-1 SIMBA SC……SADIO KANOUTE AWAACHIA MSALA WAARABU…ILIBAKI HIVI TU YANI…

admin October 24, 2023 7:48 pm

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano mapya ya African Football League safari yao imegota mwisho baada ya kuondolewa na Al Ahly waliopata faida ya kuwa na mabao mengi ugenini.

Mchezo wa robo fainai ya pili ambao umechezwa nchini Misri, Oktoba 24 ubao umesoma Al Ahly 1-1 Simba.

Bao la Simba limefungwa na Sadio Kanoute dakika ya 69 na lile la Al Ahly limefungwa na Karhaba dakika ya 76.

Mwisho ni Al Ahly 1-1 Simba (Agg: 3-3) Safari imegota mwisho wakiambulia bao moja ugenini na wao Al Ahly waliambulia mabao mawili ugenini.

USIKU WA ULAYA LEO UMETULIA NA ODDS ZENYE UHAKIKA WA MKWANJA KUTOKA MERIDIANBET.. SIRI YA MAKALI YA AZIZI KI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply