Home Habari za michezo YANGA YATUMA SALAMU ZA POLE KWA SIMBA DHIDI YA AL AHLY

YANGA YATUMA SALAMU ZA POLE KWA SIMBA DHIDI YA AL AHLY

0
Habari za Simba leo

Timu ya Yanga SC imempa pole mtani wake wake wa jadi Simba SC baada ya kutolewa na Al Ahly ya nchini #Misri kwenye mashindano ya AFL.

Yanga imetoa pole hizo kupitia #comments katika chapisho la timu Simba SC, ikiandika kuwa “Pole sana mtani, hata sisi tulikosa Ubingwa wa Afrika kwa kanuni hiyohiyo”.