Habari za Simba
Habari za michezo

KANOUTE ATAMBA AFL AWEKA REKODI HII MPAKA SASA

Staff Desk October 25, 2023 12:16 pm

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Kibu Denis Prosper ndiye mchezaji pekee raia wa Tanzania aliyefunga goli kwenye michuano ya African Football League hadi hivi sasa.

Sadio Kanoute ni miongoni mwa wanaoongoza kwa kuwa na magoli mengi zaidi kwenye michuano ya African Football League.

1. Sadio Kanoute Goal 2

2. Kahraba Goal 2

3. Reda Sliman Goal 1

4. Marcelo Allende Goal 1

5. Kibu Denis Goal 1

6. Tabeho Maseko Goal 1.

HIKI HAPA NDIO KILICHOMPONZA ROBERTINHO MBELE YA AL AHLY YANGA YATUMA SALAMU ZA POLE KWA SIMBA DHIDI YA AL AHLY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply