Habari za Simba leo
Habari za michezo

YANGA YATUMA SALAMU ZA POLE KWA SIMBA DHIDI YA AL AHLY

Staff Desk October 25, 2023 12:21 pm

Timu ya Yanga SC imempa pole mtani wake wake wa jadi Simba SC baada ya kutolewa na Al Ahly ya nchini #Misri kwenye mashindano ya AFL.

Yanga imetoa pole hizo kupitia #comments katika chapisho la timu Simba SC, ikiandika kuwa “Pole sana mtani, hata sisi tulikosa Ubingwa wa Afrika kwa kanuni hiyohiyo”.

KANOUTE ATAMBA AFL AWEKA REKODI HII MPAKA SASA ROBERTINHO AFURAHISHWA NA MASTAA HAWA MECHI YA JANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply