Home Habari za michezo KIVUMBI CHA EUROPA LEAGUE NI LEO USIKU…SUKA MKEKA WAKO KWA KUZINGATIA ODDS...

KIVUMBI CHA EUROPA LEAGUE NI LEO USIKU…SUKA MKEKA WAKO KWA KUZINGATIA ODDS HIZI…

Meridianbet

Europa league kutimua vumbi kwenye viwanja mbali mbali barani ulaya, huku kila timu ikijinadi vizuri kuondoka na alama tatu kutoka kwa timu pinzani japo kuwa kila kocha alimwaga sifa kwa mpinzani wake na kuhakikishia kuwa na mchezo wa kuvutia, lakini Meridianbet nasi hatuwezi kukuacha, tumekuandalia odds kubwa kwenye kila mchezo ni wewe tu kuchagua sehemu ya kuweka pesa yako.

Mechi zote za Europa league Alhamisi hii utazipa mubashara kwenye tovuti ya meridianbet ambapo Liverpool, Westham United, Olympique Marseille,Atalanta na As Roma zikishuka dimbani kutafuta matokeo katika michezo yao huku wewe ukitafuta pesa.

Meridianbet inakuhakikishia kukupa kukupa odds kubwa alhamisi hii ili kufurahia siku yako huku ukitizama michezo mubashara huku ukibashiri mubashara wakati michezo ikiendelea. Jihakikishie ushindi kwenye machaguo zaidi 1000 ndani ya meridianbet

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia https://a.meridianbet.co.tz/c/32 na uweke mkeka wako.

Klabu ya Liverpool baada ya kushinda michezo yake miwili ya awali awamu hii watakua nyumbani katika dimba lao la Anfield kumenyana na klabu ya Toulouse ya nchini Ufaransa kuhakikisha wanapata alama tatu muhimu ili waendelee kileleni kwenye kundi E.

Mabingwa wa kombe la Uefa Conference league msimu uliomalizika klabu ya Westham United wagonga nyundo kutoka jiji la London watakua ugenini nchini Ugirikiย  kumenyana na klabu ya Panathaikos katika kuhakikisha wanaendelea kukaa kileleni kwenye kundi lao.

Bila kuwasahau wanafainali wa michuano hii msimu uliomalizika klabu ya As Roma chini ya kocha Jose Mourinho watakua nyumbani katika dimba lao la nyumbani la Estadio de Olympico wakiwakaribisha klabu ya Slavia Prague katika mchezo huo mkali wa michuano ya Uefa Europa League.

Vinara wa ligi kuu ya Ujerumani klabu ya Bayern Leverkusen nao watashuka dimbani kumenyana na klabu ya Qarabag FK katika mchezo mkali wa michuano hii ambao umepewa ODDS KUBWA kwa timu zote kubwa pale Meridianbet unaweka mkeka wako sasa uchukue maokoto yako na michuano ya Europa League.

SOMA NA HII  HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOSHUKA DIMBANI DHIDI YA MTIBWA SUGAR