Diamond Plutnumz
Burudani

DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA KUTAPELIWA BILIONI 4 ZA KUNUNUA NDEGE….ATAJA VIGOGO WA SERIKALI…

admin October 29, 2023 7:06 pm

Baada ya kutua Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga leo Oktoba 29, staa wa bongoflava Diamond Platnumz amefunguka kuhusu ishu ya ndege yake binafsi (private jet) aliyotaka kununua.

“Ishu ya ndege yangu ina mambo kidogo, nilinunua jet nimelipa fedha nimetapeliwa, nilimpigia Waziri Mbarawa (Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa) alinisaidia, kaka yangu Hamza ( Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari) alinisaidia na sasa serikali nzima inanisaidia kupata haki yangu, nililipa fedha nyingi, kianzio zaidi ya bilioni 4 ila niliowawatumia wananiletea ujanja ujanja,” amesema Diamond Platnumz

Diamond amekuwa akitumia ndege binafsi katika safari zake za ndani na nje ya nchi.

SIMBA WAIKATAA YANGA…MECHI YAO YAFA KIBUDU….ISHU YA USAJILI YATAJWA…. AHMED ALLY :- GAMONDI ALIKUJA KUCHUKUA DARASA LA KUIFUNGA IHEFU JANA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply