Home Meridianbet KWA HAKIKA YA ASILIMIA 100 YA USHINDI IKO KWENYE SLOT HII NDANI...

KWA HAKIKA YA ASILIMIA 100 YA USHINDI IKO KWENYE SLOT HII NDANI YA MERIDIANBET…

Meridianbet

Unapoicheza ndivyo utamu unavyozidi kuwa mwingi, mchezo mzuri na wenye mandhari ya sinema za Mazombie unakupa uhuru wa kujitafuta mara tu unapouanza kuucheza, furahia ushindi mwingi unapoingia kasino ya mtandaoni na kisha kuchagua mchezo wa Zombie Apocalypse.

Hatua za Ushindi Kasino ya Mtandaoni

Zombie Apocalypse una mistari 20 ya malipo, ushindi wote hulipwa kutoka kushoto kwenda kulia, isipokuwa alama ya Bonasi. Kwenye mstari wa ushindi ni ushindi mkubwa pekee unaolipwa. Alama ya Wild hubadilisha alama zote isipokuwa ishara ya Bonasi. Dau la chini kuanzia Tsh 10 sawa na 1.00 PTS.

Jinsi ya Kucheza Zombie Apocalypse Kasino ya Mtandaoni

Kutengeneza ushindi mwingi kupitia kasino ya mtandaoni, bonyeza kitufe cha kubashiri/Gamble na ujaribu kukisia kama kadi/karata inayofuata ni nyekundu au nyeusi ukipatia ushindi wako utaongezwa mara mbili Zaidi na kama utakosea basi ushindi wako utafutwa.

Sloti ya Zombie Apocalypse inakupa nafasi ya kupata mizunguko ya bure pale tu unapoanza kucheza, mizunguko hii inaipata kwenye namba hizi 9,10,11,12,13,14 au 15. Kila alama ya Wild inayoonekana kwenye mzunguko ina nyongeza mara 2 au 3.

Kasino ya mtandaoni ina Jackpoti za aina 3 tofauti za Jackpot ambayo mchezaji anaweza kutarajia ushindi. Mchezaji anapobofya spin, asilimia kadhaa ya hisa zake huingia kwenye sehemu ya jackpot. Jackpot inayoendelea inakua, inakuwa kubwa zaidi na zaidi, hadi mchezaji mmoja atashinda. Zawadi ya jackpot huhamishiwa moja kwa moja kwenda akaunti ya pesa ya mchezaji.

 NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

SOMA NA HII  JIPATE WIKIENDI HII NA MERIDIANBET KUPITIA KIPUTE KATI YA ARSENAL DHIDI YA MAN CITY ...