Habari za michezo
CAFYAWATILIA UGUMU WAPINZANI WA YANGA
Staff Desk
November 3, 2023
10:31 am
Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limeukataa uwanja wa Cape Coast ambao klabu ya Medeama ilikuwa imepanga kuutumia katika michezo yake ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limeukataa uwanja wa Cape Coast ambao klabu ya Medeama ilikuwa imepanga kuutumia katika michezo yake ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Medeama imepangwa kundi D pamoja na klabu za Young Africans, Al Ahly na CR Belouzdad.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.