Habari za Yanga
Habari za michezo

HUENDA YANGA IKAWA NDIO TIMU YA KWANZA KWENYE REKODI HII BONGO

Staff Desk November 16, 2023 6:52 am

Kwa muda mrefu mashindano ya Afrika [CAF Champions League na CAF Confederation Cup] yamekuwa yakitawaliwa na timu za Kaskazini mwa Afrika.

Yanga kukutana na timu mbili kwenye hatua ya makundi kutoka ukanda wa Kaskazini mwa Afrika [Al Ahly na CR Belouizdad] inawapa fursa ya kucheza na timu zenye uzoefu na endapo watatoka kwenye kundi hilo watakuwa wamepata mechi zenye ushindani mkubwa.

Kwa ubora wa kikosi cha Yanga, huenda wakavuka hatua ya makundi na kwenda hatua inayofuata [Robo Fainali] na safari yao itaendelea hadi hatua ambayo hakuna timu ya Tanzania iliyowahi kufika kwenye mashindano haya ya Ligi ya mabingwa Afrika.

SIMBA WAINGIA MAKUBALIANO HAYA NA TP MAZEMBE UNAAMBIWA SHABIKI AKIMBIA OFISI YAKE NA KUHAMA NYUMBA KISA GOLI TANO ZA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply