Habari za michezo

UNAAMBIWA SHABIKI AKIMBIA OFISI YAKE NA KUHAMA NYUMBA KISA GOLI TANO ZA YANGA

Staff Desk November 16, 2023 7:02 am

Shabiki wa Simba SC, anayejiita ‘King Laudit Mavugo’ kutoka Mbinga Ruvuma kabla ya Derby ya Kariakoo ya Novemba 5, 2023, aliahidi kutoa Kilo moja ya mchele kwa kila shabiki wa Yanga kama timu yake ya Simba SC ingefungwa na Yanga SC.

Baada ya Simba SC kufungwa magoli 5 – 1 na Yanga SC, mashabiki zaidi ya (200) wa Yanga SC walikwenda dukani kwake wakihitaji bidhaa hiyo aliyoahidi.

Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Aziza Mangosongo ndiye aliyemuokoa ‘mwamba’ huyo na masaibu ya ahadi yake baada ya kuagiza Jeshi la Polisi kumsaidia.

HUENDA YANGA IKAWA NDIO TIMU YA KWANZA KWENYE REKODI HII BONGO SIMBA KWA MISIMU MIWILI SASA WAMESHINDWA NA WATANI ZAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply