UNAAMBIWA SHABIKI AKIMBIA OFISI YAKE NA KUHAMA NYUMBA KISA GOLI TANO ZA YANGA
Shabiki wa Simba SC, anayejiita ‘King Laudit Mavugo’ kutoka Mbinga Ruvuma kabla ya Derby ya Kariakoo ya Novemba 5, 2023, aliahidi kutoa Kilo moja ya…
Shabiki wa Simba SC, anayejiita ‘King Laudit Mavugo’ kutoka Mbinga Ruvuma kabla ya Derby ya Kariakoo ya Novemba 5, 2023, aliahidi kutoa Kilo moja ya…
Klabu ya Simba imewataka wanachama na mashabiki wa timu hiyo kutulia, ikisema huu si wakati wa kunyoosheana vidole kwa sababu Ligi Kuu bado mbichi na…
BADO Yanga inashangilia ushindi wake wa mabao 5-1, dhidi ya watani zao Simba wanaoumia kupewa kichapo hicho kikubwa ikiwa ni kama kisasi kwani mei 6,…
HAKUNA ubishi. Baada ya makelele ya siku kadhaa, umewadia ule muda wa Tanzania kugawanyika kwenye rangi mbili kubwa kwa dakika kadhaa. Ni saa 11 jioni…
KUTOKANA na hali ya hewa ya mvua, hakuna shamrashamra zilizozoeleka kwenye mechi za dabi za Simba na Yanga, ingawa haijazuia baadhi ya mashabiki kufika Uwanja…
WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Olivieira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa wametumia uzito wa…
WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Olivieira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa wametumia uzito wa…
Kocha Mkuu wa Simba Mbrazili, Robert Oliviera ‘Robertinho’ amewapa jukumu zito viungo wake wa kati Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute na Mzamiru Yassin kuhakikisha viungo wa…
Katika kuelekea mchezo wao wa Dabi dhidi ya Yanga SC, Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wameingia mkataba wa Bil. 1.5 na Kampuni ya Serengeti Breweries…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kitendo cha mvua kunyesha kuelekea kwenye mchezo wao wa dabi, ni ishara nzuri ya…