JPM
Habari za michezo

SIMBA KUPELEKA TUZO YAO YA CAF KWA HAYATI MAGUFULI….MPANGO MZIMA UKO HIVI..

admin November 21, 2023 9:16 pm

Tambo za Semaji la Wekundu wa msimbazi Ahmed Ally kueleka Chato Utalii Festival, amezungumza kuhusu walivyojiandaa.

Amesema wataipeleka Chato tuzo ya Mashabiki Bora waliyoipata hivi karibuni.

“Kutakuwa na michezo mbalimbali ambayo tutashiriki na sisi mashabiki wa Simba, tunaamini tutaenda kushinda!”

“Kubwa kabisa ni mpira wa miguu, mashabiki wa Simba na Yanga na hapo ndio eneo letu la kujidai lazima tuwafunge.”

“Mashabiki wa Simba tumekuwa bora sana na lazima tukathibitishe ubora wetu kwenye shindano kwa sababu mpaka tuzo tunayo na nitawapelekea watu wa Chato wakati tunacheza Tuzo ipo pembeni.”

KWA BALAA HILI LA PHIRI….ASIPOCHEZA KWA SIMBA HII YA SASA ASEPE TU KWENYE DIRISHA DOGO… KOCHA MBRAZILI ‘AWAJAMBISHA’ YANGA KUELEKA MECHI YA CAF KESHO KUTWA….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply