Habari za michezo
ASEC WATUA NCHINI KUWAKABILI SIMBA
Staff Desk
November 23, 2023
11:23 am
Kikosi cha klabu ya ASEC Mimosas kimeshawasili nchini Tanzania tayari kwa maandalizi ya Mchezo wao dhidi ya wenyeji Simba SC utakaofanyia katika Uwanja wa mkapa siku ya Jumamosi hii.
Kikosi cha klabu ya ASEC Mimosas kimeshawasili nchini Tanzania tayari kwa maandalizi ya Mchezo wao dhidi ya wenyeji Simba SC utakaofanyia katika Uwanja wa mkapa siku ya Jumamosi hii. Simba wanaikaribisha ASEC Mimosas katika mchezo wa kwanza wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.