Habari za Yanga
Habari za michezo

KIMEUMANA YANGA LEO HUKO UGENINI CAFCL

Staff Desk November 24, 2023 3:14 pm

KLABU ya Yanga leo inashuka dimbani Algeria katika mchezo wa kwanza michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kundi D dhidi ya CR Belouizdad.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa 5 July 1962 uliopo mjii mkuu wa nchi hiyo, Algiers.

Mchezo mwingine wa michuano hiyo leo ni wa kundi A ambapo Pyramids itakuwa uwanja wa nyumbani wa 30 June uliopo Cairo, Misri dhidi ya TP Mazembe.

YANGA KWENYE VITA YA MTETEZI SIO POA GAMONDI AFUNGUKA USHINDI NA BURUDANI KWA WAKATI MMOJA SIO POA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply