Habari za michezo

MANULA KUIKOSA ASEC KISA HIKI HAPA

Staff Desk November 24, 2023 3:30 pm

Simba SC inatarajiwa kumkosa Aishi Manula kwenye mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Asec Mimosas katika Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni

Kwa mujibu wa Kocha wa Simba Daniel Cadena akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo huo amesema Manula ana maumivu kwenye mguu wake na ataukosa mchezo huo.

Cardena pia amesema Clatous Chama amewasili jana nchini kutoka Zambia na watamtazama leo mazoezini kama yupo fiti kucheza mchezo wa kesho.

“Manula tutamkosa katika mchezo wa kesho kwakuwa ana majeraha,Clatous Chama amewasili jana akitokea Zambia,tutaona kama itawezekana kumtumia dhidi ya Asec Mimosas” amesema Cadena

GAMONDI AFUNGUKA USHINDI NA BURUDANI KWA WAKATI MMOJA SIO POA MSHINDO WA MISHIKO YA MERIDINABET INAANZA LEO IJUMAA….ODDS ZENYE UJAZO HIZI HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply