Habari za Simba leo
Habari za michezo

AHMED ALLY AFUNGUKA HALI MBAYA WANAYOPITIA

Staff Desk November 26, 2023 9:27 am

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally kupitia Instagram amefunguka sare iliyopata timu hiyo 1-1 na ASEC Mimosas mechi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

“Tumepata alama moja, si nzuri sana na si mbaya sana, tuna kazi kubwa ya kufanya katika mechi zijazo kuhakikisha malengo yanatimia. Bado tuna nafasi ya kufanya vizuri, tumepoteza alama tatu katika 18 za hatua ya makundi hivyo tumebakiwa na 15 za kupigania. Nyakati ngumu zinatukomaza na kutukumbusha tuboreshe wapi kwenye timu yetu. Poleni sana Wanalunyasi,”

BENCHIKHA: NIWAKUTE NYOTA WOTE KAMBINI UNAJUA SIMBA WALIMNASA VIPI BENCHIKHA….. MBINU ILITUMIKA HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply