Habari za michezo
SARE YA YANGA vs AL AHLY ILIVYOMNEEMESHA PACOME…..HII NDIO KUFA KUFAANA SASA
Staff Desk
December 5, 2023
4:04 am
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameshinda bao bora la wiki katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika zilizochezwa mwisho wa wiki.
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameshinda bao bora la wiki katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika zilizochezwa mwisho wa wiki. Pacome alifunga bao hilo la kusawazisha na la kwanza kwa Yanga katika mchezo w kundi D uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo uliomaliza kwa sare ya 1-1 dhidi ya Al Ahly
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.