Habari za michezo

IHEFU NA SIKU 60 ZA MACHUNGU

Staff Desk December 5, 2023 4:09 am

Sare ya 0-0 leo kwenye mchezo wa raundi ya 13 kati ya Prisona dhidi ya Ihefu imeifanya ihefu kufikisha siku 60 bila kuonja ushinda kwenye mechi 8 mfululizo tangu iliipoichapa Yanga Octoba 4 mabao 2-1 katika Uwanja wa Highland Estate, Mbeya.

Ihefu imekuwa haina mwendelezo mzuri baada ya kupata sare nne sawa na idadi ya mechi walizopoteza huku Kocha Basena akiwa amesimamia mechi saba tu tangu alipojiunga na timu hiyo Octoba 16.

Prisons amabayo ipo nafasi ya 13 ikiachana nafasi moja na Ihefu, imeshinda mechi mbili, kutoka sare tano, kupoteza mechi tano na inapointi 11 katika mechi 12.

SARE YA YANGA vs AL AHLY ILIVYOMNEEMESHA PACOME…..HII NDIO KUFA KUFAANA SASA DEAL DONE, CHASAMBI ATUA MSIMBAZI….. YANGA WAPIGWA NA KITU KIZITO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply