Tetesi za Usajili Simba SC
Habari za michezo

DEAL DONE, CHASAMBI ATUA MSIMBAZI….. YANGA WAPIGWA NA KITU KIZITO

Staff Desk December 5, 2023 4:18 am

Taarifa njema kwa mashabiki wa Simba SC ni kusainiwa kwa winga Ladaki Chasambi kwa mkataba wa miaka miwili.

Simba imewapiku wapinzani wao Yanga SC ambao imeripotiwa kuwa nao walikuwa wanamwinda winga huyo anayekipiga katika klabu ya Mtibwa Sugar.

Chasambi amepandisha msimu huu kwenye timu ya kwanza akitokea timu ya vijana chini ya miaka 20.

IHEFU NA SIKU 60 ZA MACHUNGU HIKI HAPA NDIO KINACHOENDA KUTOKEA KWA YANGA NA GAMONDI WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply