Habari za Yanga leo
Habari za michezo

YANGA WASHAANZA KISAMBAZA THANK YOU BEKI HUYU AANZISHA SAFARI RASMI

Staff Desk December 5, 2023 12:02 pm

Klabu ya Young Africans itaachana na beki wake wa kati raia wa Uganda Gift Fred kwenye dirisha dogo la mwezi January.

Klabu ya Young Africans itaachana na beki wake wa kati raia wa Uganda Gift Fred kwenye dirisha dogo la mwezi January. Nyota huyo amekuwa hapati namba kwenye kikosi cha Yanga tangu alipojiunga na kikosi hicho kwenye dirisha kubwa la usajili msimu huu.

ALLY KAMWE AINGIA UPEPO MBELE YA MADEAMA BAADA YA KUSHINDWA KUTAMBA DHIDI YA AL AHLY KISA SARE NA AL AHLY JUZI….KIGOGO YANGA ‘KANG’ATA ULIMI’ KISHA AKASEMA HAYA MAPYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply