Habari za michezo

KOCHA WYDAD AWAANGALIA MASHABIKI WAO KISHA AKAWAPA HABARI HII…. HIKI NDICHO ITAKACHOAMBULIA SIMBA HUKO MARRAKESH

Staff Desk December 8, 2023 8:34 pm

Kocha Mkuu wa Wydad Casablanca, Adil Ramzi amesema kwa sasa huruma pekee watakayo ipata Kwa mashabiki wao ni kushinda Kila mchezo uliopo mbele yao.

Wydad Athletic Club imepata ushindi wa kwanza jana usiku baada ya kuipa kichapo MC Oujda mabao 3-1.

Wababe Hawa wa Soka la Morocco walicheza michezo minne mfululizo na yote wakachezea kichapo.

Adil Ramzi amesema kitu pekee ambacho mashabiki wa Wydad Casablanca wanataka ni ushindi na hivi sasa Bado Wana hasra Kali juu yao hivyo Simba ajiandae kula kichapo katika mchezo.

Mwanasimba nini maoni yako kuhusu Ujumbe wa kocha Adil Ramzi?

HII ROBO FAINALI SIMBA, YANGA BADO KITENDAWILI WAARABU HAWATAAMINI…SIMBA YAIFANYIA UMAFIA MZITO WYDAD…..MZIMBABWE ATUMIKA KUMALIZA MCHEZO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply