Habari za michezo
MAMELODI WABANWA MBAVU NA KINAMAYELE SHUGHULI ILIKUWA HIVI
Staff Desk
December 11, 2023
12:18 pm
Mabingwa wa African Football League, Mamelodi Sundowns wakiwa nyumbani Loftus Versfeld, Pretoria wamelazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya vigogo wa Misri, Pyramids katika mchezo wa tatu ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Pyramids
MSIMAMO KUNDI A
Sundowns (pointi 4)
TP Mazembe (4)
Nouadhibou (4)
Pyramids (4)

Shughuli ni pevu kundi A bado ni bichi, kuna tofauti ya alama SIFURI kati ya kinara na mshika mkia.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.