Habari za Simba
Habari za michezo

BENCHIKHA AFUNGUKA WALIKIPATA BAADA YA KIPIGO KUTOKA KWA WYDAD

Staff Desk December 11, 2023 12:22 pm

Kocha mkuu wa kikosi cha Simba Abdelhak Benchikah amesema kile walichokipata katika mchezo wa juzi dhidi ya Wydad AC kitawafanya wajiandae vyema kuelekea mchezo ujao wa marudiano.

“Yote yaliyotokea hapa yatakwenda kutupa usahihi wa maandalizi mazuri ya mchezo ujao. Eneo tulilokuwa bora tutakwenda kuongeza ili kuimarika zaidi na kwenye mapungufu tutakwenda kuparekebisha.”

Simba itakutana na Wydad AC tena December 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam.

Simba inahitaji alama 3 muhimu katika mchezo huo ili ifufue matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika.

MAMELODI WABANWA MBAVU NA KINAMAYELE SHUGHULI ILIKUWA HIVI HUWEZI KUAMINI, ILA UKWELI WOTE HUU HAPA DADIKA 630 BILA USHINDI SIMBA SC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply