Habari za michezo
NGAO YA JAMII WANAWAKE KIVUMBI LEO FAINALI
Staff Desk
December 12, 2023
12:39 pm
JKT Queens na Simba Queens zinashuka dimbani Dar es Salaam leo katika fainali ya Ngao ya Jamii wanawake 2023.
Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Azam Complex ulipo Chamazi.
Kabla ya fainali kutafanyika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu na nne kati ya Yanga Princess na Fountain Gate Princess.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.