Home Habari za michezo REKODI KUVUNJWA LEO….ODDS ZA KIBABE ZIKO NDANI YA MERIDIANBET..

REKODI KUVUNJWA LEO….ODDS ZA KIBABE ZIKO NDANI YA MERIDIANBET..

Meridianbet

Kunako ligi kuu ya Uingereza utapigwa mchezo wa kibabe kabisa ambapo wababe wa ligi hiyo klabu ya Liverpool na Arsenal watashuka dimbani kukipiga katika mchezo utakaopigwa katika dimba la Anfield.

Kipute hichi kitatoa burudani ndani na nje ya uwanja kwnai mchezo huu utakua wa kuvutia hivo utatoa burudani kwa watazamaji, Lakini pia kwa upande wa wateja watakua na nafasi ya kupiga mkwanja kwani mchezo huu umepewa ODDS KUBWA kabisa pale Meridianbet.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leo mchezo huu utakutanisha timu bora kwasasa katika ligi kuu ya Uingereza ambapo Arsenal wakiwa vinara na alama zao 39, Liverpool wao wako nafasi ya tatu wakiwa na alama 38 lakini itakua ni jaribio la Arsenal kutaka kuvunja rekodi iliyodumu kwa takribani miaka 11 wakiwa hawajashinda katika dimba la Anfield.

Mara ya mwisho kwa Arsenal kushinda Anfield ilikua mwaka 2012 mwezi Septemba wakati huo kocha wa klabu hiyo ni Arsene Wenger ambapo walishinda kwa mabao mawili kwa bila, Huku mabao yakifungwa na Lukas Podolski na kiungo Santi Cazorla hivo leo ni nafasi ya kuweza kupindua meza au kuendeleza uteja huo.

Uzuri vilabu hivi vinakutana kipindi ambacho wako vizuri wote upande wa Arsenal wao wako kwenye kiwango chao bora kabisa, Huku Liverpool nao wanaonekana sio haba ambapo wanaonekana ndio mpinzani hai mpaka sasa wa Arsenal katika mbio za ligi kuu ya Uingereza.

Tofauti na kipute hicho kitakachopigwa katika dimba la Anfield kutakua na michezo mingine mikali wikiendi hii ambayo itawawezesha wateja wa Meridianbet kupigwa mkwanja Westham United watakipiga dhidi ya Man United, Tottenham watakua nyumbani kuikaribisha Everton, Luton watakipiga na Newcastle United, Kule Italia Inter Milan watakipiga na Lecce, Juventus wakiwa ugenini kucheza dhidi ya Frosinone, Hispania Atletico Madrid wataikaribisha klabu ya Sevilla michezo yote itapatikana katika tovuti ya Meridianbet ikiwa imepewa ODDS KUBWA na bomba kabisa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  M-BET WADHAMINI WAPYA SIMBA....WAZISHINDA TIK-TOK NA SportsPesa...MKATABA WAO NI ZAIDI YA KUFRU AISEE...