Tetesi za Usajili Yanga
Habari za michezo

BAADA YA KUMSHUSHA OKRAH….YANGA WARUDI TENA GHANA SAFARI HII KIFAA HIKI KINASHUKA…

admin January 4, 2024 9:20 pm

INAELEZWA kuwa Klabu ya Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Medeama Jonathan Sowa.

Hiyo yote ni kwa ajili ya kuboresha eneo la ushambuliaji ambalo halijapata mbadala sahihi baada ya kusepa kwa Fiston Mayele.

Kasi ya Yanga kwa sasa kwenye ufungaji sio yakubeza lakini inaongozwa na viungo washambuliaji.

Ni Aziz KI huyu ni namba moja kwa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa katupia mabao 10 kama ilivyo namba ya jezi yake.

Taarifa zimeeleza kuwa Yanga ipo kwenye mpango wa kuinasa saini ya nyota huyo kuongeza nguvu katika eneo hilo kwa ajili ya mashindano ya kitaifa na kimataifa.

ENG HERSI USO KWA USO NA BOSI WA MBAPPE UFARANSA….WALICHOTETA HIKI HAPA… SANYA SANYA YA MAOKOTO YA JANUARI LEO IKO NA ODDS HIZI ZA UHAKIKA KUTOKA MERIDIANBET..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply