Habari za Yanga leo
Habari za michezo

MASHINE HII YA KAZI KUSEPA YANGA…GAMONDI KATIA ‘UBANI’ MAPEMAAAA….

admin January 13, 2024 3:28 pm

INAELEZWA kuwa nyota wa Yanga, Cripin Ngush ambaye ni mshambuliaji atakuwa ndani ya uzi wa Coastal Union ya Tanga kwenye kupambania nafasi kikosi cha kwanza.

Ipo wazi kwamba mshambuliaji huyo mzawa ambaye aliibuka ndani ya Yanga akitokea Mbeya Kwanza hana nafasi kikosi cha kwanza.

Alipata zali la kuanza kikosi cha kwanza kwenye baadhi ya mechi za Kombe la Mapinduzi 2024 alipofunga mabao mawili kwenye mchezo dhidi ya Jamhuri kabla ya timu hiyo ugotea hatua ya robo fainali ikifungashiwa virago na APR FC ya Rwanda.

Anatajwa kwamba baada ya msimu kumalizika atarejea ndani ya Yanga akiwa ni mwenye uwezo mwingine na kupata nafasi kikosi cha kwanza.

Yanga ipo chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa kazi kubwa ya mchezaji ni kupata nafasi na kuonyesha uwezo wake uwanjani.

KAMATA ODDS ZA MECHI ZA LEO HII …HAKIKISHA MKEKA WAKO UKO MERIDIANBET…. GAMONDI AFUNGA HESABU ZA USAJILI YANGA……., KUFANYA MAAMUZI MAZITO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply