Home Habari za michezo ODDS ZA USHINDI KWENYE UEFA LEO ZIMELALA NA TIMU HIZI…

ODDS ZA USHINDI KWENYE UEFA LEO ZIMELALA NA TIMU HIZI…

Meridianbet

Ndugu mteja leo hii Ligi za Mabingwa Ulaya inarejea kwa hatua ya 16 bora huku meridianbet wakikuwekea ODDS KUBWA na machaguo uyapendayo wewe. Suka jamvi lako sasa na uweze kujipigia mkwanja unaotolewa hapa sasa.

Mechi kali sasa usiku wa leo ni hii ya Rb Leipzig dhidi za Real Madrid ambao ndio mabingwa mara nyingi wa kombe hili wakiwa wamelichukua mara 14. Meridianbet wanampendelea zaidi Carlo Ancellotti na vijana wake kushinda mechi hii kwa ODDS 2.30 kwa 2.79.

Mechi hiyo itapigwa saa 5:00 katika dimba la Red Bull Arena huku msimu uliopita walipokuta, kila timu ilishinda nyumbani kwake. Je leo hii Real atalipa kisasi nyumbani kwa RB? Na je vipi Leipzig atakubali pointi tatu ziondoke kwenda Bernabeu?.

RB kwenye Bundesliga yupo nafasi ya 5 baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita, huku Madrid akiwa kinara wa Laliga baada za kutoa dozi nzito kwenye mechi yake iliyopita. Wewe beti yako unaiweka wapi kati za timu hizi mbili?

Suka mkeka wako kwenye mechi hizi za UEFA, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

 Vile vile Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Wakati Machester City wao watakuwa ugenini kumenyana dhidi za FC Copenhagen huku Meridianbet wao wakimpa nafasi kubwa za ushindi City kwa ODDS za 1.22 kwa 11.76. Timu hizi mbili zilikutana tena msimu uliopita ambapo mechi za kwanza Copenhagen alipoteza kwa mabao mengi huku mechi za pili wakisuluhu.

Ikumbukwe kuwa Guardiola na vijana wake ndio mabingwa watetezi wa kombe hili wakilichukua kwa mara za kwanza. Huku kwa upande wa timu mwenyeji yeye hajawahi kuchukua kombe hili hata mara moja. Je leo hii katika dimba lake la nyumbani la Parken atafanya nini?. Je Pep Guardiola ambaye yupo nafasi za pili kwenye ligi kuu za EPL atashinda au mwenyeji atamzuia?. Jisajili ubeti hapa.

SOMA NA HII  BAADA YA KUAONA MAVITU YA OKRAH....KOCHA MPYA SIMBA KACHEEEKAAA...KISHA AKASEMA WAMEUMIA...