FT: KMC 0-3 YANGA SC
Habari za michezo

FT:- KMC 0-3 YANGA SC…MUDATHIR KAMA KAWA…’MAJINI’ YAMKUMBA GUEDE….

admin February 17, 2024 6:31 pm

Bao la mapema zaidi kwa Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara limefungwa mzunguko wa pili na Mudathir Yahya Uwanja wa CCM Kirumba dakika ya kwanza.

Ikumbukwe kwamba bao la kwanza kwenye mzunguko wa kwanza lilifungwa na Dickson Job dakika ya 19 Uwanja wa Azam Complex dhidi ya KMC.

Kwenye mchezo wa leo Februari 17 ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba wakati ukisoma KMC 0-1 Yanga ni makosa ya safu ya ulinzi kwenye kupeana pasi yaliwaponza na Yanga wakatumia makosa hayo kufunga.

Ni Mudathir Yahya anakuwa nyota wa kwanza kuwainua mashabiki wa Yanga wakiwa ugenini ndani ya Morogoro, Mji kasoro bahari.

MECHI ZA USHINDI LEO ZIMELALA NA ODDS HIZI KUTOKA MERIDIANBET… KUHUSU KUTUPIA SANA SAFARI HII…MUDATHIR AFUNGUKA A-Z ALIVYOPIKWA NA GAMONDI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply