Habari za Yanga leo
Habari za michezo

ALLY KAMWE:- YANGA TUKIFIKA HAPA TU KIMATAIFA MAMBO YATAKUWA BULBULI…

admin February 19, 2024 5:14 pm

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mpago mkubwa ni kutinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika na wanaamini watafanya vizuri kwenye mechi zao.

Mchezo ujao kwa Yanga katika anga la kimataifa ikiwa hatua ya makundi ni dhidi ya CR Belouzidad unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Timu zote mbili zina pointi tano kibindoni hivyo mshindi ataongeza nafasi ya kufikia malengo ya kutinga hata ya robo fainali.

Ali Kamwe Ofisa Habari wa Yanga amesema:” Kundi la kiume ambalo tupo na nafasi bado iko wazi kwa kila timu. Sisi Yanga fainali yetu ni Uwanja wa Mkapa Vs Belouzidad.

β€œMchezo huo utakuwa ni 24/2/2024. Mpango wetu ni robo fainali. Na tutautimiza mpango huu kama tutaungana pamoja na kwenda Uwanjani kuwapa nguvu wachezaji wetu siku hiyo.

β€œUwanja kujaa ndio silaha yetu ya kwanza ya kumpunguza makali Mwarabu, mashabiki tujitokeze kwa wingi muda ni sasa,”.

KAMATA SLOT YA POKER TEEN PATTI KWA UHAKIKA WA MTONYO KUTOKA MERIDIANBET… KISA MECHI YA SIMBA vs MTIBWA KUSOGEZWA MBELE….’MCHAMBUZI’ ATOKWA NA ‘POVU’ LA MWAKA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply