Home Habari za michezo BAADA YA MANENO KUWA MEEENGIII….HATIAMAYE BOCCO AGEUKIA KWENYE UKOCHA…

BAADA YA MANENO KUWA MEEENGIII….HATIAMAYE BOCCO AGEUKIA KWENYE UKOCHA…

Habari za Simba SC

Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, John Raphael Bocco ameanza kusomea ukocha wa ngazi ya awali zinazoendeshwa na TFF Makao Makuu Karume ikiwa ni miezi michache kabla ya Mkataba wake na Simba kumalizika mwishoni mwa Msimu huu.

Bocco mwenye umri wa Miaka 34 amekuwa na wakati mgumu ndani ya Simba baada ya kupoteza nafasi ya kucheza kwa misimu miwili,

Taarifa zinasema huenda akatangaza kustaafu kucheza mwishoni mwa msimu huu.

Inafahamika kuwa Bocco ndiye kinara wa kupachika magoli kinara kwenye historia ya Ligi Kuu Tanzania akiwa na jumla ya magoli zaidi ya 100.

Huu ni msimu wake wa sita akiwa na Simba ambapo katika misimu yake minne ya mwanzo alifanikiwa kubeba ubingwa wa

SOMA NA HII  BAADA YA MORRISON KUMTAJA KUWA ANAMFUNDISHA LUGHA YENYE MATUSI...MKUDE AIBUKA NA KUMJIBU HAYA...