Home Habari za michezo MTONYO WA LEO UKO KWENYE UHAKIKA WA ODDS ZA MECHI HIZI….

MTONYO WA LEO UKO KWENYE UHAKIKA WA ODDS ZA MECHI HIZI….

Meridianbet

Je unataka ODDS KUBWA?, Machaguo zaidi za 1000? Turbo Cash, zote zipo hapa unachotakiwa kufanya ni kuweka mkeka wako leo hii ili ujiweke kwenye nafasi ya kuwa Milionea sasa.

Tuanzie kule LALIGA ambapo leo hii saa 5:00 usiku utapigwa mchezo mmoja kati ya wenyeji Villarreal dhidi ya Getafe. Nyambizi wa njano walitoa sare mchezo wao uliopita, huku mgeni wake akipata ushindi mechi iliyopita. Mara ya mwisho kukutana timu hizi walitoshana nguvu, lakini meridianbet leo hii wamempa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.11 kwa 3.43. Je nani kuondoka na pointi 3?. Tengeneza jamvi sasa.

Pia SERIE A kuna michezo miwili leo hii ambapo, Torino baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita atakuwa nyumbani pale kuzichapa dhidi za Lecce ambaye alipokea dozi nzito mchezo wake uliopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 9, huku mgeni akihitaji kulipa kisasi baada ya kupigwa mechi ya kwanza walipokutana. Mechi hii imepewa ODDS 1.76 kwa 4.90. Jisajili na ucheze.

Vile vile Meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Nao vinara wa ligi hiyo Inter Milano chini ya kocha mkuu Simon Inzaghi watakuwa pale Giusseppe Meazza kusaka pointi tatu za kujikita kileleni dhidi ya Salernitana ambaye ndiye kibonde wa ligi hiyo. Inzaghi na vijana wake wamepewa ODDS 1.16 kwa 4.90. Je Inter kuendeleza moto wake?. Suka mkeka wako na ubeti hapa.

Mechi nyingine za pesa ni hii hapa ambayo inawakutanisha FC Cologne dhidi za Werder Bremen katika ligi ya Ujerumani kule BUNDESLIGA. Timu hizi zimepishana pointi 10 pekee huku ushindi akipewa mwenyeji ndani za meridianbet kwa ODDS 2.50 huku mgeni akipewa ODDS 2.79. Ingia meridianbet na ubeti sasa.

LIGUE 1 pia kutakuwa na mchezo mmoja wa Lyon dhidi ya Nice ambaye yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi baada ya kuwa na mwendelezo mzuri huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 13. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.69 kwa 2.74. Mechi ya mwisho kuonana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka kidedea?. Bashiri sasa.

SOMA NA HII  EDO KUMWEMBE :- MATOLA YUKO KWA MASLAHI YA MABOSI WA SIMBA...NI KOSA LA MUDA MREFU SANA...