Habari za Yanga
Habari za michezo

BAADA YA YANGA KUPANGWA NA MAMELOD CAF….MANARA KAIBUKA NA HILI KWA SIMBA…

admin March 13, 2024 12:53 pm

Ikiwa yamepita masaa machache tangu kupangwa kwa Droo ya hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

wawakilishi wa Tanzania Klabu ya Simba imepangwa dhidi ya Al Ahly, huku Yanga wakipewa Mamelodi.

Sasa aliekuwa msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

Mamelodi na Wasouth Afrika wote niwahakikishie kitu kimoja cha msingi sana,,Sio kweli Team zote za Tanzania ni Washirikina na hatuji huko kufanya Ulozi na kuwanga kama hawa wenzetu walivyofanya.

Tutakuja kucheza Soka murua bila kuwasha moto uwanjani na InshaAllah tutawatoa bila NDUMBA.

Manara ametoa kauli hiyo akiwahusisha Simba ambao misimu kadhaa nyuma walikwenda nchini Afrka ya kusini kucheza dhidi ya Orlando na kufanya tukio la kuwasha moto Uwanjani.

FT: SIMBA 3-1 SINGIDA FG…..’UZEE’ WA NTIBAZONKIZA WAACHA MASWALI….FREDY MDOGO MDOGO… UWEZO WAKO WA KUSAFIRI UMBALI MREFU NA SUPER HELI KASINO| MAOKOTO YA KUTOSHA….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

2 responses to “BAADA YA YANGA KUPANGWA NA MAMELOD CAF….MANARA KAIBUKA NA HILI KWA SIMBA…”

  1. Malenya Max says:

    Under the NBC premium league try to insert NBC top scores list

  2. BACK TO SCHOOL says:

    Huwa ni ushamba na kutangatanga na maisha Hana team saizi duduka na Hana swanga saivi lambda aendee huko chini drj Kwanza na yeye kwenye mpira awaachie wanaoweza sio yeye

Leave a Reply