Home Habari za michezo HIVI NDIVYO Infinix NOTE 40 ILIVYOZINDULIWA BONGO KIBABE…UBORA WAKE ZAIDI YA iPhone...
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.

Meena Ally ambae amekuwa mwanafamilia wa Infinix kwa muda mrefu alisema kuwa nafurahi na najivunia kuwa balozi wa kampuni ninayoipenda na niliyonaimani nayo tangu nianze kufanya kazi na Infinix naona kwenda mbele kwao na si kurudi nyuma hadi leo tumeliteka soko la simu na kuwafikia vijana wengi ambao ndio walengwa wakuu wa bidhaa za Infinix tupewe pongezi.
Afisa Mahusiano Infinix ameeleza umahiri wa simu hii “Infinix NOTE 40 Series imetengenezwa kwa umahiri na Chip Cheetax X1, Chip ambayo imetengenezwa na wenywe Infinix ili kuongeza ufanisi katika teknolojia hii ya fast charge inafanya ufuatiliaji na ulinzi simu inapokuwa kwenye charge sifa nyengine za simu hii ni uwezo mkubwa wa kuchukua picha na Megapixel 108 pamoja na kuzoom kwa usaidizi wa OIS na umbo lenye muundo wa kisasa wa 3D Curved, AMOLED Display na refresh rate 120Hz”.
Infinix pia ilitambulisha Laptop na accessory za simu kama smart watch na earpads ambazo zitaingia sokoni hivi punde.

