Mtangazaji wa michezo wa kituo cha radio cha Clouds FM, Alex Luambano amesema kuwa tatizo lililopo Simba SC kwa sasa ni mwekezaji wao Mohammed Dewji ‘Mo’ kwani ameshindwa kutoa pesa kwa ajili ya usajili na uendeshaji wa mambo mbalimbali ya timu na na kuitelekeza timu kwa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo.
Luambano amesema hiyo ndiyo sababu kubwa ya Simba SC kuyymba na kupata matokeo mabovu ikiwemo kuishia robo fainali ya CAFCL, na robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank na kwamba mwekezaji huyo hataki wawekezaji wengine wawekeze ndani ya Simba.
“Kuna watu wanataka kuwekeza Simba lakini Mo ni kikwazo, wanashindwa kwa sababu Mo amemiliki kila kitu, hivyo basi wamwambie afungue milango wengine nao waingie au atie hela akishindwa aachie kabisa.
“Hiki ninachozungumza kama kuna mjumbe wa bodi anaweza kuja kukanusha namkaribisha aje akanushe kwenye kipindi mbele yangu,” amesema Luambano.
Katika hatua nyingine, Alex Luambano amesema kuwa tatizo lililopo Simba SC kwa sasa ni mwekezaji wao Mohammed Dewji ‘Mo’ kwani ameshindwa kutoa pesa kwa ajili ya usajili na uendeshaji wa mambo mbalimbali ya timu na na kuitelekeza timu kwa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo.
Luambano amesema hiyo ndiyo sababu kubwa ya Simba SC kuyymba na kupata matokeo mabovu ikiwemo kuishia robo fainali ya CAFCL, na robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.
“Hii Simba leo inaitwa ‘Makolo’ (jina la utani) ni kwa sababu ya Mo, jezi imejaa makolokolo (matangazo ya bidhaa za Mo) jina la makolo limetokana na bidhaa za Mo.
“Nimefanya tafiti, kuna wachezaji wanadai signing fee (ada ya uhamisho/usajili), bonus zinalipwa on time kwa sababu wanaoahidi ni Try Again na Mangungu na wanaahidi za ndani ya uwezo wao.
“Yeye sasa hivi kakaa mbali ,ikitokea lawama ni Mangungu na Try Again lakini anayewafanya Simba wamefika hapa ni Mo,” amesema Luambano.
Alex Luambano amesema kuwa tatizo lingine lililopo Simba SC kwa sasa ni mwekezaji wao Mohammed Dewji ‘Mo’ kwani ameshindwa kutoa pesa kwa ajili ya usajili na uendeshaji wa mambo mbalimbali ya timu na na kuitelekeza timu kwa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo.
Luambano amesema hiyo ndiyo sababu kubwa ya Simba SC kuyymba na kupata matokeo mabovu ikiwemo kuishia robo fainali ya CAFCL, na robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.
“Kama mashabiki wa Simba wanataka suluhu, aambiwe Mo aiache timu au arudi afanye kazi kwenye nafasi yake na kwa mfumo uliopo wanaweza wakarudi kubadilisha mfumo wa uwekezaji.
“Uwekezaji wa mtu mmoja kushika share zote (49%) unamtengenezea nguvu yakuona yeye ndio ana-power.
“Yanga waliliona hilo na kwenye uwekezaji wametoa nafasi kwenye zile 49% kwa mtu zaidi ya mmoja, ukimuweka mmoja anajiona yeye ndio mmiliki na hiki ndicho kinachowakuta Simba.
“Mo anaweza kutaamka timu nimeinunua, Wanasimba nawaambia leo, muyafute Mo mumwambie awaachie Simba yenu au arudi kwenye nafasi yake.
“Na kingine mrudi muangalie kwenye mfumo wenu wa uwekezaji mbadilishe mfumo uruhusu wengine kuingia,” amesema Luambano.