Habari za michezo
Habari za michezo

YANGA WAZIDI KUIPASUA SIMBA KIMATAIFA….TAKWIMU ZA TIMU TAJIRI AFRIKA HIZI HAPA…

admin April 21, 2024 4:36 pm

Kwa mujibu wa African Facts Zone, Klabu ya Yanga ni klabu namba saba kwa kuwa na bajeti kubwa ya mwaka Barani Afrika wakitumia takribani dola milioni 8.1.

Nafasi ya kwanza inashikwa na Al Ahly wenye bajeti ya dola milioni 88.6 takribani mara 10 ya bajeti ya Yanga lakini Simba wao wapo nafasi ya 10 wakiwa na bajeti ya dola milioni 5.3 kwa mwaka.

African Football Clubs’ Annual Budgets

1. Al Ahly (Egypt) – $88.6 million

2. Zamalek (Egypt) – $25.5 million

3. Petro de Luanda (Angola) – $19 million

4. Esperance du Tunis (Tunisia) – $16 million

5. Wydad Casablanca (Morocco) – $11.5 million

6. Mamelodi Sundowns (S. Africa) – $10 million+

7. Young Africans SC (Tanzania) – $8.1 million

8. TP Mazembe (Congo DR) – $6 million

9. Raja Casablanca (Morocco) – $5.4 million

10. Simba SC (Tanzania) – $5.3 million

11. AS Maniema Union (Congo DR)- $4.5 million

12. MC Alger (Algeria) – $3 million

SHAFFIH DAUDA:- SIMBA WAMEKUBALI HAWANA TIMU BORA MSIMU HUU…. BAADA YA KUITUNGUA SIMBA JANA…AZIZ KI KAIBUKA NA HILI JIPYA KWA ‘KIGOGO’ WA SERIKALI…