HII SASA MPYA SOKA LA ITALIA...INTER AMCHAKAZA MHASIMU WAKE AC MILAN...YATWAA UBINGWA
kimataifa

HII SASA MPYA SOKA LA ITALIA…INTER AMCHAKAZA MHASIMU WAKE AC MILAN…YATWAA UBINGWA

Marce Ben Komba April 23, 2024 11:42 am

Klabu ya Inter Milan imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini Italia ‘Serie A’ baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya mahasimu wao kutoka jiji la Milan AC Milan.

Inter imefikisha alama 86 ikiwa ni tofauti ya alama 17 dhidi ya AC Milan wanaoshika nafasi ya pili na imesalia michezo 5 kabla msimu kumalizika.

Ni kwa mara ya kwanza kwenye History ya ‘Serie A’ Bingwa wa ligi hiyo amepatikana baada ya kushinda mchezo wa dabi ya jiji la Milan inayofahamika kam ‘Dabi Della Madonnina’.

Huu unakua ubingwa wa 20 wa ‘Serie A’ kwa klabu hiyo ya Inter Milan.

SHOW ZA PESA NDANI YA EXPPANSE CASINO ZIMERUDI KWA NGUVU…. DABI YA SIMBA NA YANGA CHA MTOTO…HIZI HAPA DABI ZOTE ZA MOTO ZILIZOPIGWA WIKIENDI